Verse 1 (Amani)
njaro zako, tayari nimekanywa
penzi lako, naambiwa ni balaa
nami bado, siwezi kukuwacha
nifanyeje, na roho ishapenda
Bridge (Amani) 2x
oh, nakuwaza
oh, nakutaka
no, but my baby
you are such a bad boy
Chorus (Nyashinski)
najua unaipenda unaitaka pia
naeza tell na design unaiangalia
sio makosa yako
I am falling for the bad boy
(Amani)
najua unaipenda, unaitaka
naeza tell na design unaiangalia
si makosa yangu
I am falling for the bad boy
Verse 2 (Amani)
sura yako nabaki
----