waptrick.com

Waptrick Lady Jaydee - Yahaya Song Lyrics


Chorus

Yahaya unaishi wapi

Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh

Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

Maskani yako Kinondoni

Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh

Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

Verse 1

Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani

Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani

Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae

Anavyozuga, anavyopita

Si umdhaniae

Na hafananii kabisa, na fix anazofanya

Akidanganya kwa kina

Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa

Longo longo nyingi

Rudia Chorus

Verse 2

Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss

Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank

Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae

Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae

Na hafanii kabisa, na fix anazofanya

Akidanganya kwa kina

Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa

Ooooh Yahaya

Rudia Chorus

Mara anasema usalama wa Taifa

Hakuna ajuae

Kalubandika wa kizazi kipya

Uso mdhaniae

Na hafanii kabisa na fix anazo fanya

Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata

Kumbe hana helaa

Chorus

Yahaya unaishi wapi

Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehh

Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

Maskani yako Kinondoni

Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh

Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

----
» Lady Jaydee other songs
« Lyrics Search
« Waptrick Home Page
« Change Language
» Download free VPN for iPhone