Verse 1
Tumekuja kuparty
Dj hebu weka tracky
Tukule heppy halafu
Tufungue sakafu
Sababu ina bamba inashika
Fungu la tisa inatufikisha
Ukiachilia mahewa
Maze Dj unatubeba
Chorus
Ah (uwii) bu bu mba, bu bu bu bu mba
(aiyaah)
Bu bu mba, bumba bumba aah
Bu bu mba, bumba bumba aah 2x
(aiyaah)
Bumba bumba aah
Verse 2
Karibia inakubamba
Vipi dada shaky your nanda
Ninakutouch touch siri ras ras
Kwenye dance floor shoa shoa
Unanoki hauchoki
Kwenye dance floor, hautoki
Unahisi hii muziki
Unahisi Nameless na mimi
It's Nameless and E-sir
In conjunction with Ogopa
Tumekuja kuhakikisha
Kwamba spika zinasikika
Hey you, mister, are you a member
Hey you, sister, wacha kulenga
Can't you see that I'm talking to you
Sasa weka mikono juu
Repeat Chorus
Hook
Ukikatika na hii ng'oma
Just be cool as a cucumber x 2
Verse 3
Aaah (hallo Nameless uko freshy lakini)
Twende
Wewe yeye yeye wewe, vice versa
Vile wataka
Mister, brother, wacha kuzubaa
Ukisleki hautapata
Fungua macho
Floor ni yako
Cheza wimbo kama ni wako
Cheza wimbo kama ni wako
Sababu huu wimbo ni wako
E-sir, hatucheki na watu
Nameless, hatucheki na watu
Ma emcee, hatucheki na watu
Ogopa, hatucheki na watu
Unahisi hizi floor za Africa (aha)
Unahisi kama unakatika (aha)
Can you feel this front to the rear (aha)
Can you feel this up in here
Repeat Chorus
Repeat Hook
Repeat Verse 1
Tumekuja kuparty
Ambia wenzetu samahani
Hawako nasi, hatuko nao
Basi wametupa mbao,
Sababu ina bamba inashika
Fungu la tisa inatufikisha
Ukiachilia mahewa
Maze Dj unatubeba
Repeat Chorus
Repeat Hook
----