Intro
Chorus
Mh! mwenzenu tena basi, ooh! mapenzi sitaki
Oooh mwenzenu tena basi, basi sitaki
Oooh! Mwenzenu tena basi, ooh! mapenzi sitaki
Oooh mwenzenu tena basi, basi sitaki
Verse One
Mh! Yalinifanya nikaugua
Mara napanga napangua
Mwili ukakonda nikapungua
Ah! Sikulala (Sikulala)
Oh! Maradhi nikaugua Ooh!
Yakanichoma nikaugua Roho
Kutwa nawaza nakuwazua
Sikulala
Hook
Eh!
Haya mapenzi bwana, hayana mana, yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake n’shagombana, n’katukanwa, lakini akanipiga teke
Ai!
Haya mapenzi bwana, hayana mana, yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake n’kagombana, usiku mchana, yeye akanipiga aaah
Chorus
Verse Two
Oooh! Nilishagombana na mama mzazi
Akataka nimwage ladhi
Sababu ya yule fulani, yule wa moyo wangu
Ah! Yakaleta zengwe kwa kazi
Ugomvi wa Simba na Panzi
Vurugu kwa majirani, ah! eh! Mola wangu
Hook
Chorus
----