CHORUS*2
hamunitishi tishi hamunibabaishi maisha ninayoishi hayanikubalii
bila spare tyre nasafiri kwenye barabara ya maisha
bila kutaka saa yoyote naweza pata puncture
kwahivyo naendesha gari yangu pole pole sana
alaah akbar mumgu ni mkubwa
asante baba kwa kunisaidia kujua
ukiendesha mazuri mazuri utavuna
tangu siku yangu ya kuzaliwa
mpaka siku hii tumefika
hakuna mtu angewahi fikiria
sifa za e-sir yule kijana
aliyekuwa akikaa jobless corner
akisaga gomba ingawa kuwa amesoma
angekuwa akisikizwa kwa radio
matamshi kukubaliwa na kila masikio
kucheza kuku dance au chakach
----