waptrick.com

Waptrick Mr Blue - Tabasamu Song Lyrics


Tabasamu nipate furaha, sio unanuna baby, usiwe unauchuna wewe (2x)

Blue:

Hebu shuka na kupanda, jana tulishuka check leo tunapanda

Nimepata idea ya kusambaza kanda

Nimepata Shoo za Kenya na Uganda, Burundi na Rwanda

Twende pamoja twende tukasake chanda

Mungu akijalia unazuia kibanda, namiliki kiwanda

Tuko pamoja si ungefunga mkanda,

Yote kwa sababu, nipe tabasamu (smile),

Nimechoka mi tabu hii ni time ya vitamu

Unapendaga club, unanikumbusha Adam,

After two weeks turudi Dar es salaam

Tumetesa sana baby (sana sana)

Vibaya ukinikana baby (ah ah),

Ukaniona sina mana baby (ah ah ah ah ah)

Baby toka mchana alfajiri, chini ya utajiri, fake mpaka real,

Mapenzi sio siri, au kwakuwa tuko wawili? Mapenzi ndio kama unasiri

Kama mabaya yanasemwa kila siku (daily), wazushi nao hawaishi bifu

Maisha sio kutesa kila siku, japo pesa ndo kila kitu (kila)

Steve:

Tabasamu nipate furaha, sio unanuna baby, usiwe unauchuna wewe (2x)

Cheka kidogo ni wewe baby, nione tabasamu lako girl

Mi na ridhika nafarijika ukinuna utaniumiza roho,

Cheka kidogo ni wewe baby..ooo

Mi naridhika na farijika ...eee

Tabasam..(2x) baby baby

Blue:

I say, weka basi smile, wacha mi ni sebenze

achana na hao wanao subiri niteleze

Boggie nami superstar tingisha hizo wesele, (wesele) wesele( wesele) wesele,

Wakibana bongo twende zetu kwa madebe

Twende club zao twende tukaruke debe

Sikia hisia zao sio hisia ka-za regge

Nawapiga bao kijuhudi kama Chegge

Achana na wanga, wanga zao ni kutaga,

Mitaa ya Upanga kule wanauza baga

Unacheza charanga, unacheza ragga,

Hisia za kimanga sina hisia za kichagga

Basi baby si ungecheka kidogo

Si unajua Smile lako linaua mpaka vigogo?

Halafu uko natural wala hutumii mkorogo,

Pande za Masaki Mpaka pande za kigogo,

Wamekutaka hawajakupata hata kidogo,

Wakina Rama K Abbu na Shabby Choggo

(Hawajakupata hata kidogo 2x)

Blue vipi mbona sikusikii tena?

Sikusikii ukiflow sikusikii ukisema?

Niko busy na baby jamani nishasema,

Niko busy na wife jamani nishasema

Mabaya yanasemwa kila siku

Wazushi nao hamwishi bifu

Maisha sio kutesa kila siku, japo pesa ndo kila kitu

Steve:

Tabasamu nipate furaha, sio unanuna baby, usiwe unauchuna wewe (2x)

----
» Mr Blue other songs
« Lyrics Search
« Waptrick Home Page
« Change Language
» Download free VPN for Android
  • Videovak Watch Free
    VIDEOVAK: Watch TV series online free!