waptrick.com

Waptrick K Lynn - Crazy Over You Song Lyrics


kutoka

Mi nipo tayari nimeshapendeza

Hutoki chumbani kwa nusu sa

Anataka kukuita roho inasita

Maana hukawii kupandisha

Na mood yangu ikaharibika

Tusijeshindwa kutoka, nooh

Nachukua glass naweka wine

Nasip kidogo inaniingia

Naamua later, nitakwambia

Jinsi unavyonikera oooh

Chorus

You know I’m crazy over you baby

Lakini sasa nachoka aah

Usipoacha vituko baby

Kweli mimi nitaondoka aah

K-Lyinn verse

Usiku wa jana wala sijalala

Ulichokifaya siwezi kusema

Nasikitika si mara ya kwanza au mwenzangu umeshaamua

Wasema chai ina chumvi

Chakula hiki kina sisimizi

Ni bora uwe mkweli, nooo

Mi bado nadai usidhani sifai

Na wapo wengi watao furahi

Kujua siko na wewe

Single, single, single girl

You know I’m crazy over you baby

Lakini sasa nachoka aah

Usipoacha vituko baby

Kweli mimi nitaondoka aah

Wewe, wewe, K-Lyinn baby, wewe, wewe

Squeeza verse

Kwa unayosema nitarejea mama nitakuletea

Si roho kusemea maradhi utajiletea utapotea

Usiwaze sana najua roho inauma dunia

Kaza moyo kaza moyo rasta man nita take care

Watu wanasema hatugombani wanabaki wanashangaa

Tunabaki uwaona hawa wa wapi wanakanyagwa

Basi ntakuletea

Repeat Chorus 2x

Wewe, wewe

Kweli mimi

Wewe, wewe

Kweli mimi nitaondoka aah

----
» K Lynn other songs
« Lyrics Search
« Waptrick Home Page
« Change Language
  • Videovak Watch Free
    VIDEOVAK: Watch TV series online free!