waptrick.com

Waptrick Daddy Owen Ft Denno - Mbona Song Lyrics


VERSE 1 LYRICS:

Tarehe kama saba mwezi wa saba

miaka zimepita kumi na saba

humu duniani nishajipata

mimi mimi niko nilivyo

sina baba wala mi sina mama

siwezi enda mbali mi najificha

nachoka kujificha najitokeza

mimi mimi mimi niko nilivyo

nafunga virago vyangu, naenda mbali

sijui nifanye nini, niende wapi

nifwate nani mimi, nimwite nani

mimi mimi niko nilivyo

sioni mbona nyinyi mwanikimbia

sioni mbona nyinyi mwanidharau

sioni mbona nyinyi mwaniepuka

mimi mimi niko nilivyo

CHORUS LYRICS:

Mbona mbona mbona?...

VERSE 2 LYRICS:

Wakati Mungu Aliniumba

Alipanga mpango Wake

kwamba mimi niwe jinsi nilivyo

mbona sasa hamnidhamini?

mwaniona kama sifai

sikuchagua niwe jinsi nilivyo

nikitembea barabarani macho mmenikazia

mbio mbio mwaniondokea, mimi ni kama nyinyi

CHORUS LYRICS:

Mbona mbona mbona?...

VERSE 3 LYRICS:

Kwanini mwaniepuka?

Na mimi ni kama tu wewe

kwanini mwanidharau?

Na mimi ni kama tu wewe

Kwanini wanikimbia?

Na mimi ni kama tu wewe

Kwa nini? Kwa nini?

CHORUS LYRICS:

Mbona mbona mbona?...

----
» Daddy Owen Ft Denno other songs
« Lyrics Search
« Waptrick Home Page
« Change Language
» Download free VPN for Android
  • Videovak Watch Free
    VIDEOVAK: Watch TV series online free!