waptrick.com

Waptrick Banjuka Remix Song Lyrics


Intro

Remix!

Banjuka reloaded!

jomino tunaba-ba-ba-banjuka tu

tuna-ba-ba... remix!

wanauliza kwani remix inatoka siku gani

ba-ba-ba-banjuka tu

wanauliza kwani remix inatoka siku gani

DNA, Kaya, Bishop, Jimwat

wanauliza kwani remix inatoka siku gani

ba-ba-ba-banjuka tu

wanauliza kwani remix inatoka siku gani

DNG, Big Pin, Prezzo

Verse 1(Kaya)

mi niko tayari ku-ba-ba

kujibamba vi-nasty

na kuchanganya msichana kiasi

nimguse pale nimwulize anaskiaje

leo hatukukutana niaje

ni shikamoo,

marahaba

nikimshika more ni mara haba

tukianza kazi

mi na ye ni kinyume

anageuka maji mi nageuka chuma

ni ka magic nashtuka tu

dame anafanya thao zinageuka blu

ni machupa tu

za sambuka tu

mi nainuka juu

wakibanjuka juu

nacheki chupi dress ni ka kichungi

life ni fupi na mi sijifungi

nabeba take away asubuhi katatu mazee (ndani ya nyumba)

sijui nachaguaje

(DNG)

ni coca cola ka-fresh kananicheki tu

ananimesea na mimi natabasamu tu

DNG mi sina noma angalia tu

madame na tishio wamekaribia tu

story tu ustaarabu tu unaingiana tu

si unajua vile mi hufanya mzeiya wembe tu

na wazeiya wakishindwa watabanjuka tu

roho juu kichwa tu kula hepi yako tu

(Jimwat)

na-specialize na kufanya mamanzi waskie fiti

madame wenye hupenda kuskiza zetu mziki

wana-like

vile si hutumia pesa kwenye bar

inawafanya wawe generous kugawa

hatujakuja ndio tuwalipie mamanzi nyumba

swali ni, watakuja na sisi kwa nyumba

DNA, Kaya, Jimwat, Bishop

guaranteed collabo ukiskia utawika jo

mi naunda Calif

DNA na Weezy tuko gauge

mpaka DNA kwa mwili ime-rearrange

mazee sioni poa,

naskia funny

yule dame anakaa poa

anaitwa nani

naitwa Shiko

mi naomba mshiko

naona umebeba dishi, mi nimebeba kijiko

si tusosi

na lights zako pozi

venye unaba-ba-ba-banjuka tu

(DNG)

ki-ki-ki-kila mtu

ba-ba-ba-banjuka tu

ki-ki-ki-kila mtu

ba-ba-ba-banjuka tu

ki-ki-ki-kila mtu

ba-ba-ba-banjuka tu

ki-ki-ki-kila mtu

ba-ba-ba-banjuka tu

(Big Pin)

bado mi nakam tu na chupa yangu ya malibu

shida nimeweka chini mikono iko juu

nina ba-ba-ba-banjuka tu

ndani ya track ya jomino ninawakilisha tu

ka kawaida si unajuanga vile mi hu-do

nachanganisha madame alafu nawa...

nakwachu pointie mpaka ana-turn blue

bad man Big Pin si mi ni mwajabu

(DNA)

ndani ya mdundo supuu na steam

all eyes on me dame yangu supuu wazim na

wanani-feel juu nakuwanga on point man

Mr. DNA future ex-boyfriend

shida chini, mikono ziko juu

na enyewe leo ni lazima tu-do

si uchangamke mbona umekunja sura

tumekam hepi hii ni party sio funeral

lakini chunga ukinibo itabaki

D ame-transform kakuwa Lucy Kibaki

ushikwe vibare, maboy wako huku

niondokee kabisa

mavi ya kuku

back to masupuu

ngoma na maye

juu ya track na-feel good

noma si usare

na juu ngoma ni kali

tupa mikono juu

na ukiweza pia miguu

na akisleki mshike...

(Prezzo)

yeah,

Prezzo, I'm still heavy up in this game

bado nawakilisha

jomino of course

on your mark, get set

kuwa tayari ku-go

usiwe na wasi juu mko na mi Prezzo

kama mnani-feel tuta-party for sure

na kama hauni-feel feel free hit the door

nimekam, kula hepi

kama DNA ntabanjuka kiasi na

ku___ madame na ma-miniskirt

at the end of the night kitandani ni sarakas

CMB ndani ya nyumba in other words nimetua

nye mnajua mi nakamua kamua

makamuzi ya hali ya juu

it doesn't matter what you do,

just do what you do like me

I do what I do like I'm doing it for TV

wengi wamejaribu but they can't test me

na kunifikia mimi ni unlikely

mi ni younger version of Raman Plosi

madame wananipenda ladies adore me

ma-G wananiita mi generali

shida kubanjuka siridhikangi

I guess it's just not me so

(DNA)

ruka tu

ba-banjuka juu

life ni fupi nami sijifungi

naweka shida chini natupa mikono juu

ba-ba-ba-banjuka tu

ba-ba-ba-banjuka tu

ba-ba-ba-banjuka tu

naweka shida chini natupa mikono juu

ba-ba-ba-banjuka tu

----
» Banjuka Remix other songs
« Lyrics Search
« Waptrick Home Page
« Change Language
» Download free VPN for Android
  • Videovak Watch Free
    VIDEOVAK: Watch TV series online free!