waptrick.com

Waptrick Reuben Kigame - Enda Nasi Laulusõnad


Tunaomba uwepo wako uende nasi

Ewe Bwana wa majeshi tusikie

Kama huendi nasi,

Hatutaki kutoka hapa

Hatuwezi peke yetu, enda nasi

Tu watu wa shingo ngumu tusamehe

Hatufai mbele zako turehemu

Tusafishe ee Baba,

Tuonyeshe uso wako

Twahitaji neema yako enda nasi

Tutavua mapambo yetu,

Vitu vyote vya thamani kwetu

Mioyo yetu twaleta mbele zako

Tutakase na utembee nasi.

Tunaomba utuonyeshe njia zako,

Kwa maana umetuita kwa jina lako,

Twalilia eeh Bwana,

Utukufu na uso wako

Bila wewe tutashindwa enda nasi

----
» Reuben Kigame teised laulud
« Lyrics Otsing
« Waptrick Esileht
« Keele
» Lae alla tasuta VPN for Android
  • Videovak Watch Free
    VIDEOVAK: vaadake telesarju veebis tasuta!